Mafuta ya Arghani

Category: MAPAMBO
Price: 3,00 US $

.Mafuta ya Arghani ya ngozi:Baada ya kuoga na kukausha maji ,chovya mafuta kiganjani halafu sugua usoni kwa njia ya duara na pia paka eneo lolote jengine lenye ugonjwa wa ngozi.Hutumika kwa watu wa jinsia zote.Ni mafuta halisi ya mmea kwa asilimia 100 na bila chembe chembe za ziada za kemikali.Ni mmea kutoka milima ya Atlas kaskazini magharibi ya Afrika.Hayana madhara yoyote kwa mtumiaji..Mafuta haya hutibu kwa ufanisi sehemu za ngozi zilizojificha.Ili kupata matokeo bora daima weka mbali na muangaza wa jua la moja kwa moja.

Mafuta ya kula ya Arghani: Mafuta ya mti huu ni mazuri sana kwa ajili ya kula.Hutumika kula kwa kuchovya na mikate au kunyunyiza kwenye baadhi ya vyakula wakati wa kula.Huongeza nguvu mwilini na hulainisha njia yote ya mapitio ya chakula mpaka mwisho wake. 

Sabuni ya Arghani.Vile vile ipo sabuni yake ambayo hutumika kuogea kwa mwenye matatizo na uyabisi wa ngozi.Oga kwa maji ya vugu vugu na sugua kwa sabuni sehemu zenye athari na wacha povu kwa muda halafu suuza.

Location

Ask about this product

Comments